• Health/Afya

    Maelezo juu ya Afya yatakaa hapa

  • Fruits/Matunda

    Maelezo juu yaMatunda yatakaa hapa

  • Exercise/Mazoezi

    Maelezo juu ya Mazoezi yatakaa hapa

  • Mlo Kamili/ Balanced Diet

    Maelezo juu ya Mlo kamili

 Watu wengi hudhani kama mwanamke hapati ujauzito basi tatizo na lawama zote zitakuwa ni upande wa mwanamke, lakini hilo si lazima mara zote liwe hivyo. Kuna uwezekano mkubwa kuwa tatizo la kutopata mtoto katika familia likawa linatokana na ugumba upande wa mwanaume. Kwa tafiti zilizofanywa...